Friday, May 31, 2019

TAFADHALI UPDATE DJMwanga App Version 1.1.3


Tunapenda Kukutaarifa Kuwa Tumefanya Maboresho Katika Application Yetu (DJMwanga App) hivyo inakupasa Ufanye Ku-Update au Ku-Download Upya DJMwanga App

JINSI YA Ku-Update/Ku-Download APP YA DJ Mwanga
>Ingia Playstore
>Katika BOX la kuSearch, andika neno DJ Mwanga
>Baada ya Hapo Bonyeza INSTALL/UPDATE
>Ikimaliza KuINSTALL/KuUPDATE Bonyeza OPEN kufungua APP Upate Burudani.
Pia unaweza Kuidownload Kwa KUBOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment