Wednesday, June 26, 2019

Boomplay kuboresha tasnia ya muziki nchini Tanzania, yatangaza kushirikiana zaidi na wasanii wa Tanzania

Dar es Salaam Boomplay, app inayoongoza barani Afrika kwa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki, yafanya forum yake ya kwanza kwa ajili ya wasanii nchini Tanzania. Katika forum hiyo, Meneja wa Boomplay Tanzania Bi Natasha Stambuli alizungumza kuhusu kuwezesha wasanii na uzalishaji wa muziki (Production) na usambazaji wa muziki kidigitali (Digital Distribution). “Boomplay tunatambua changamoto …

The post Boomplay kuboresha tasnia ya muziki nchini Tanzania, yatangaza kushirikiana zaidi na wasanii wa Tanzania appeared first on Bongovibe.



Click here for more...
from #Bangladesh #News aka Bangladesh News Now!!!

No comments:

Post a Comment